Wasanii Tunafeli kwa Sababu ya Ujanja Ujanja Wetu :-Baraka The Prince - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wasanii Tunafeli kwa Sababu ya Ujanja Ujanja Wetu :-Baraka The Prince

Msanii wa muziki wa bongo fleva Baraka the Prince ameamua kuwashauri wasanii wengine ambao kila siku wamekuwa wakilalamika kuhusu maonnvu ya Basata kuacha kulalamika na kufanya kitu cha maana kuokoa muziki wao na sio kukaa tu huku waksiema basata hawafanayi sawa.


Baraka anasema kuwa jambo muhimu la kufanya ni kufuata sheria na kanuni zinazohitajika kufuatwa na sio kufanya vitu amabavyo havina msingi na vinavyokatazwa na mamlaka kam ambavyo yeye anafanya amekuwa akifuata sheria na ndio maana amekuwa hasumbuliwi kila mara,


Baraka anashauri kuwa huu ni wakati wa wasanii kuandamana na kwenda Basata na kuwaiskiliza wanataka nini kwa kukaa chini na kuongea nao na wakishaambiwa cha kufanya wao pia wakae wawaombe Basata kuwa na wao wanaona hapa iwe hivi na hivi.


Bakara anasema kuwa wasanii wengi wamezea kufanya kazi kwa ujanja ujanja bila kujua kuwa kuna tofauti za nyakati kati ya enzi za Magufuli na sasa ni tofauti kabisa.


 


The post Wasanii Tunafeli kwa Sababu ya Ujanja Ujanja Wetu :-Baraka... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More