Wasanii Wamlilia Pancho Latino, Kifo Chake Chastua Wengi. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wasanii Wamlilia Pancho Latino, Kifo Chake Chastua Wengi.

Baada ya kusamba kwa taarifa za ghafla za kifo cha moja ya wadau katika sanaa, habari ambazo zimeshtua wengi sana katika tansian hiyo.Wadau mbalimbali wa sanaa na burudani wamejikuta katika wakati mgumuwa kushindwa kuzuia hisa zao na kuanza kutoa pole lakini pia kusambaza habar hiuzo kwa wengine.


Msiba huu mzito wa  producer Pancho Latino uliotokea leo October 9,2018 katika kisiwa cha Mbudya Dar es Salaam.Hawa ndio baadhi ya mastaa walioguswa na taarifa hizo na kuziandika kupitia kurasa zao za instagram


“Pancho Pancho Pancho nimeumia sana sina mfano wa maumivu niliyopata dah! Pumzika kwa Amani na Asante kwa mchango wako mkubwa katika Muziki Wetu…Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe” -Joh Makini


Daaah!!! Upumzike kwa Amani, sidhani kama ulikuwa umemaliza ulichokuwa nacho kichwani. Mapema sana, ila kazi ya Mungu haina makosa #RIP“-Marcochali


“Kutokana na msiba uliotufika hivi punde wa kuondokewa na producer Genius PANCHO LATINO kutoka B’HITS…Hatutaweza kuachi... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More