Wasanii wamtembelea Naibu Waziri Shonza baada ya kujifungua (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wasanii wamtembelea Naibu Waziri Shonza baada ya kujifungua (Video)

Wasanii wa kike wa filamu nchini Tanzania wamemtembelea nyumbani kwake Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza ambaye amejifungua mtoto wa kike wiki chache zilizopita. Wasani hao ni Sengo Matilda, Mayamrisho, Joharichagulatz, Esha.s.Buheti pamoja na Mamaloraa.The post Wasanii wamtembelea Naibu Waziri Shonza baada ya kujifungua (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More