WASANII WATANO WA KITANZANIA KUONJA UTAMU WA COKE STUDIO AFRIKA 2019 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASANII WATANO WA KITANZANIA KUONJA UTAMU WA COKE STUDIO AFRIKA 2019

 Mkurungezi mkuu wa Coca cola Kwanza Basil Gadzios akizungumza na wageni waliofika kuhudhuria uzinduzi wa msimu wa Sita wa Coke Studio iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Mkurugenzi wa mauzo na masoko, wa CocaCola Kwanza, Josephine Msalilwa akizungumza na wageni waliofika kuhudhuria uzinduzi wa msimu wa Sita wa Coke Studio iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Msanii Nandy akiimba huku akicheza na Mkurungezi mkuu wa Coca cola Kwanza Basil Gadzios wakati wa azinduzi huo. Msanii Hamonize akizungumza katika uzinduzi huo. Wengine ni Rayvan, Jux na Nandy. Wageni waalikwa wakifuatilia. Msanii Jux akitoa burudani.  Wageni waalikwa wakifurahia. Msanii Hamonize akifanyiwa mahojiano na wanahabari. Mtangazaji wa Times Redio, Lil Ommy akipata selfie na msanii Jux.
Dj D-Ommy akitoa burudani huku shabiki akijiachia.
Mshehereshaji Taji Liundi akiongoza uzinduzi huo kwa kutoa burudani kidogo.
Msanii Rayvan akiwa na mpenzi wake. Marafiki wakifurahia.
Na Cat... Continue reading ->
Source: KajunasonRead More