WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAFURIKA UWANJA WA TAIFA MUDA HUU, TIMU YAO IKIKIPIGA NA AL AHLY YA MISRI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAFURIKA UWANJA WA TAIFA MUDA HUU, TIMU YAO IKIKIPIGA NA AL AHLY YA MISRI

 Sehemu ya Washabiki wa Timu ya Simba (Wekundu wa Msimbazi) wakiwa wamefurika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam tayari kwa kuishangilia timu yao inakipiga jioni hii na Timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi D wa Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, ikiwa ni mechi ya marudiano baada ya mchezo wa awali ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 5-0. Washabiki wa Timu ya Simba wakiwa kwenye foleni ya kuingia Uwanjani kushangilia timu yao.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More