WASHINDI 15 WAPATIKANA PROMOSHENI YA TIA KITU PATA VITUUZ NA DSTV - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASHINDI 15 WAPATIKANA PROMOSHENI YA TIA KITU PATA VITUUZ NA DSTV


Na.Khadija seif,Globu ya jamii

KAMPUNI ya Multichoice nchini kupitia king'amuzi cha Dstv imechezesha droo ya tatu ya promosheni ya tia vitu upate vituuzi jijini Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar,Mkuu wa kitengo cha thamani kwa wateja Hilda Nakajumo wakati wa kutangaza washindi hao 15 waliopatikana katika kila vifurushi kama Compakt plus,family , premier pamoja na kifurushi cha bomba amesema ni wakati wa wateja kunufaika,kufaidika na kuendelea kuuwasha moto kiburudani zaidi.

"Leo tumefanikiwa kupata washindi 15 kutoka mikoa mbalimbali kama vile Arusha ,Kagera,Manyara pamoja na Dar es salaam inaonyesha wazi king'amuzi cha dstv kinaendelea kutoa huduma nzuri na gharama nafuu,alisema nakajumo"

Aidha amesema washindi hao wamezawadiwa malipo ya miezi miwili bure ili kuendelea kufaidika na vipindi mbalimbali kupitia King'amuzi cha dstv.

Hata hivyo kwa upande wake Afisa Mwandamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Humud Abdulhussein amesema ni wakati wa wateja wa dstv ku... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More