WASHINDI WA TUZO POINTS VODACOM MKOANI DODOMA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASHINDI WA TUZO POINTS VODACOM MKOANI DODOMA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa kampuni ya Vodacom Tanzania, kanda ya kati, Baraka Siwa (kushoto) akimkabidhi zawadi ya hundi ya shilingi 500,000, mmoja wa washindi wa shindano la Tuzo Pointi, Markfason Haule, mkazi wa Kitinku Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, katika Ofisi za Vodacom Kanda ya Kati zilizopo eneo la Kilimani Jijini Dodoma.Mshindi wa Shindano la Tuzo Pointi linaloendeshwa na kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania, Ramadhani Mohamedi (kulia) mkazi wa Chang'ombe Jijini Dodoma, akikabidhiwa zawadi ya hundi ya shilingi laki tano (500,000) na Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa kampuni ya Vodacom Tanzania, kanda ya kati, Baraka Siwa, makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Vodacom Kanda ya Kati zilizopo eneo la Kilimani Jijini Dodoma.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More