WASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI

KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA, DCP PHAUSTINE  M. KASIKE,ndc
CGP Mteule DCP Phaustine M. Kasike, Alizaliwa mwaka 1965 na alipata Elimu ya Sekondari katika Shule ya Iyunga, Mbeya Mwaka 1984 na Elimu ya Kidato cha sita alihitimu katika Shule ya Sekondari Mzumbe, Morogoro Mwaka 1987.Alijiunga na Jeshi la Magereza katika Chuo cha Magereza Kiwira, Mbeya mwezi Mei, 1989 na kuhitimu Januari, 1990 ambapo alipata mafunzo ya awali ya uaskari Magereza.Mwaka 1992 alipata mafunzo ya Uhusiano wa Kimataifa kwa ngazi ya Stashahada katika Chuo cha Diplomasia Tanzania, Dare s salaam.  Mwaka 1999 alitunukiwa shahada ya kwanza ya Mahusiano ya Kimataifa na Utawala katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam.Mwaka 2015 alitunukiwa shahada ya Uzamili katika masuala ya Usalama na Stratejia katika Chuo cha Ulinzi cha Taifa, Tanzania (NDC) Aidha, amehudhuria pia kozi inayohusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Sheria (Law Enforcement) nchini Ghana mwaka 2006.Katika utumishi wake ndani ya Jeshi la Magereza am... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More