WATAKIWA KUCHANGIA ASILIMIA 10 KWA AJILI YA MFUKO WA WANAWAKE ,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAMAVU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATAKIWA KUCHANGIA ASILIMIA 10 KWA AJILI YA MFUKO WA WANAWAKE ,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAMAVU

Kaimu Katibu tawala wa mkoa wa Iringa, Lucas Kambelenje akizungumza kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi wakati wa kikao maalum cha baraza la madiwani wa halmashauri Mji wa Mafinga wakijadili hoja za CAGMakamu mwenyekiti wa halmashauri ya Mji wa Mafinga Francis Maghembe akizungumza wakati wa kikao maalum cha baraza la madiwani wa halmashauri Mji wa Mafinga wakijadili hoja za CAG 

NA FREDY MGUNDA,MAFINGA.
MKUU wa mkoa wa Iringa, Ally Hapi ameiagiza Halmashauri ya Mji Mafinga kuhakikisha wanatenga na kuchangia asilimia 10 ya fedha zinazotokana na mapato ya ndani kwa ajili ya Mfuko wa Wanawake ,Vijana na watu wenye Ulemamavu. 
Akizungumza kwa niaba ya mkuu wa mkoa, Kaimu Katibu tawala wa mkoa wa Iringa, Lucas Kambelenje wakati wa kikao maalum cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo, alisema kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 37A(1) cha Sheria ya Fedha za Serika|i za Mitaa (marekebisho 2018) sura ya 290, suala la kuchangia asi|imia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kukopesha vikund... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More