WATALII ZAIDI YA 340 WATUA NCHINI, NMB WATIA NENO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

WATALII ZAIDI YA 340 WATUA NCHINI, NMB WATIA NENO

Watalii kutoka nchini China wakiondoka kwenye dirisha la Benki ya NMB baada ya kubadirisha fedha za kigeni kupitia Benki hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro muda mfupi baada ya watalii Zaidi ya 345 waliowasili nchini kutokea China juzi jioni. Benki ya NMB ni wadau wa ugeni huu na imedhamini mikutano yao wakiwa hapa nchini.

Watalii kutoka nchini China wakipata huduma ya kubadirisha fedha za kigeni katika Benki ya NMB kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro muda mfupi baada ya watalii Zaidi ya 345 kuwasili nchini kutokea China juzi jioni. Benki ya NMB ni wadau wa ugeni huu na imedhamini mikutano yao wakiwa hapa nchi... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More