WATANZANIA TUWE MACHO NA WAMAREKANI NA WASHIRIKA WAO - BALOZI MSTAAFU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATANZANIA TUWE MACHO NA WAMAREKANI NA WASHIRIKA WAO - BALOZI MSTAAFU


Juni 19, 2019.Kwa uzoefu wangu wa ufuatiliaji wa masuala ya kidiplomasia na siasa za kimataifa, kilichofanywa na Ubalozi wa Marekani katika Tahadhari yao iliyotolewa saa 1:19 Jioni tarehe 19 Juni, 2019 kuwa kuna minong’ono ya kutokea mashambulizi katika maeneo ya Masaki hususani katika hoteli na migahawa inayotumiwa mara nyingi na watalii na pia maeneo ya Slipway Msasani ni Mikakati ya makusudi isiyoitakia heri Tanzania.

Katika taarifa hiyo iliyotolewa kupitia akaunti rasmi ya Twitter ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, Marekani imekiri kuwa haina ushahidi wa kuwepo kwa tishio hilo na muda ambao mashambulizi yatafanyika na inawataka wananchi kuchukua tahadhari.

Kwa tabia za Marekani hasa pale wanapokuwa hawakubaliana na baadhi ya mambo kwa Taifa fulani hii ni mbinu ambayo huitumia ili kudhohofisha Serikali kwa kuwatisha Watalii, wawekezaji, Wafanyabiashara na hata wananchi wenyewe. Yapo maeneo ambayo hufikia hata hatua ya kutekeleza mashambulizi yenyewe ili mradi ionekane nchi hiyo... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More