Watanzania tuweke akiba ya maneno, tusiibeze Stars, na tusiwachukulie poa Cape Verde - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watanzania tuweke akiba ya maneno, tusiibeze Stars, na tusiwachukulie poa Cape Verde

Uganda sio timu nzuri sana sawa nakubali na sio mbaya sana. Uganda hawana rekodi nzuri sana hivi karibuni, pia nakubali. Lakini Uganda wana wachezaji wengi wazoefu kutuzidi sisi. Uganda wao walikuwa na faida mara mbili. Kwanza wanachezaji takriban 9 wanaotoka ulaya, wana wachezaji 16 wanaocheza nje ya taifa lao. Kikosi chao cha mchezo wa mwisho ni wachezaji wawili tu waliotoka ligi yao ya ndani walifanikiwa kucheza.


Takwimu za mwisho za Uganda
08.09.18 ACN Uganda Tanzania 0 : 0  
02.06.18 RF Niger Uganda 2 : 1  
30.05.18 RF C.Africa Uganda 1 : 0  
27.03.18 RF Uganda Malawi 0 : 0  
24.03.18 RF Uganda S. Tome 3 : 1  
22.01.18 ANC Uganda I. Coast 0 : 0  
18.01.18 ANC Uganda  Namibia 0 : 1  
14.01.18 ANC Zambia Uganda 3 : 1  
17.12.2017 CHA Burundi Uganda  1 : 2  
15.12.2017 CHA Uganda  Zanzibar  1 : 2  

Kwa macho ya haraka haraka utagundua sio kwamba eti Uganda wana matokeo mazuri sana kuzidi sisi na Uganda ni pwagu na pwaguzi tu. Lakini hatuwezi kukat... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More