Watanzania wametakiwa kutumia maji safi na salama kuepuka Kipindupindu - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watanzania wametakiwa kutumia maji safi na salama kuepuka Kipindupindu

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza jamii ya Tanzania, juu ya utumiaji wa maji safi na salama ili kuweza kupambana na ugonjwa wa kipindupindu kwa urahisi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara ya Afya) Dkt.  Mpoki Ulisubisya, wakati


Source: Kwanza TVRead More