WATANZANIA WANAOSOMA CHINA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATANZANIA WANAOSOMA CHINA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA

 Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki akizungumza katika mkutano Mkuu wa Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi Watanzania Wanaosoma China- TASAFIC
Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki akiingia kwenye  Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi Watanzania Wanaosoma China- TASAFIC


Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania, Ndg Lusekelo Gwassa- ambaye ni Kaimu-Mwambata Elimu na Mwambata wa Uchumi Ubalozi wa Tanzania nchini China Akisalimia Wahudhuriaji katika Mkutano Mkuu TASAFIC

Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watanzania Nchini China Victoria Mwanziva Akiwa na Thomas Mwabobo Katibu wa Jumuiya ya Watanzania wanaosoma Fushun

 Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Shenyang wakifurahia suala mkutanoni Salma Pazi (Mwenye Miwani) na Lisa Severin Wanafunzi Wakitanzania Wanaosoma China katika miji mbalimbali, wakisikiliza kwa umakini uwasilishwaji wa mada mbalimbali kwenye Mkutano Mkuu wa Watanzania wanaosoma China. Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watanzania wanaosoma... Continue reading ->Source: KajunasonRead More