WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MCHICHA NAFAKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MCHICHA NAFAKA

WATANZANIA hususani watoto na akina mama wajawazito wametakiwa kutumia zaidi mchicha nafaka kama chakula kitakachowaongezea viini lishe muhimu kwa afya ya miili yao. 
Wito huo umetolewa mjini Arusha wakati wa Kongamano la linalojadili Afya na na Lishe bora liliwakutanisha wataalamu wa masuala ya lishe kutoka ndani na nje ya nchi wakiwamo wanajamii. 
Kongamano hilo lililoanza Agosti 6 na kukamilika Agosti 9, Mwaka huu linafanyika hapa ambapo wataalamu wanabadilishana uzoefu kuhusu masuala ya afya na lishe bora limeandaliwa na Shirika la World Vission Tanzania (WVT), wakishirikiana na Taasisi ya Amaranth ya Marekani na ECHO. 
Akizungumza kwenye kongamano hilo Mkurugenzi wa Uendeshaji Miradi ya Shirika la World Vission Tanzania, Dk. Yosh Kaslima alisema kupitia shughuli wanazofanya kwenye mikoa 13 na wilaya 36 wamebaini kuwapo tatizo la lishe bora kwa watoto na mama wajawazito. 
“Wananchi hawajui wawalishe nini watoto na akina mama wajawazito, kwa hiyo tunatarajia kupitia kongamano hili... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More