WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MCHICHA NAFAKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MCHICHA NAFAKA

Wataalamu wa masuala ya afya na lishe kwa mama na mtoto  wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye kongamano la  Kimataifa kuhusu Lishe katika maeneo kame nchii lililofanyika mjini  Arusha .Wataalamu wa masuala ya afya na lishe kwa mama na mtoto wakifuatilia  mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye kongamano la Kimataifa kuhusu  Lishe katika maeneo kame nchii lililofanyika mjini Arusha katika picha  ya pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kwitega.
WATANZANIA hususani watoto na akina mama wajawazito wametakiwa kutumia zaidi mchicha nafaka kama chakula kitakachowaongezea viini lishe muhimu kwa afya ya miili yao.
Wito huo umetolewa mjini Arusha wakati wa Kongamano la linalojadili Afya na na Lishe bora liliwakutanisha wataalamu wa masuala ya lishe kutoka ndani na nje ya nchi wakiwamo wanajamii.
Kongamano hilo lililoanza Agosti 6 na kukamilika Agosti 9, Mwaka huu linafanyika hapa ambapo wataalamu wanabadilishana uzoefu kuhusu masuala ya afya na lishe bora limeandaliwa ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More