WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA


Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (katikati) akikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji kupitia T-Pesa. Tukio hilo limefanyika sambamba na Maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji, yenye kauli mbiu 'Hakuna Atakae Achwa'. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (kushoto) kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji Zanzibar kupitia T-Pesa.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akimwelekeza Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ),... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More