WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATEJA WA MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR, ZAWA KULIPIA BILI KWA T-PESA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (kushoto) kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji Zanzibar kupitia T-Pesa. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akimwelekeza Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Salama Aboud Talib (kushoto) namna ya kufanya malipo ya bili ya maji Zanzibar kupitia T-Pesa.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa matumizi ya mtandao wa Simu ya TTCL kulipia huduma za maji kupitia T-Pesa. Mkurugenzi wa Biashara na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Kazija Mussa Msheba (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya uzin... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More