WATEJA WA TIGO KANDA YA ZIWA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELEKRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GEPG) - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATEJA WA TIGO KANDA YA ZIWA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELEKRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GEPG)

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) Meck Manyama (kulia), akionyesha namna ya kutumia simu ya kiganjani kufanya malipo, wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kielektronic wa malipo ya serikali (GePG), ambao utatumika kufanya malipo kwa taasisi zaidi ya 300 za Serikali kwa kutumia mtandao wa Tigo. Kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Uthumaan Madatti.Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Uthumaan Madatti (kulia), akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) namna ambavyo simu ya kiganjani kupitia mtandao wa Tigo inaweza kutumika kulipa malipo mbali mbali kwa taasisi zaidi ya 300 za serikali wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kielektronic wa malipo ya serikali (GePG)uliofanyika jijini Mwanza leo. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Serikali wa Tigo Ally MaswanyaMkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Uthumaan Madatti (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kielektronic wa malipo ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More