Wateja wa Vodacom kurudishiwa asilimia 10 ya pesa wanunuapo simu kwa M-Pesa Sabasaba - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wateja wa Vodacom kurudishiwa asilimia 10 ya pesa wanunuapo simu kwa M-Pesa Sabasaba

a
 Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (wapili kulia) akimuelezea  Ezra Moshi akiwa na familia yake juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G yenye ofa ya GB2 kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure,  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (kulia) akimuelezea  Ezra Moshi juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G iliyounganishwa ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure,  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, barabara ya Kilwa . Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195.000
Baadhi ya wakazi wa jij... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More