WATEJA WAFURAHIA PROMOSHENI KAMBAMBE MADUKA YOTE YA TIGO NCHINI TANZANIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATEJA WAFURAHIA PROMOSHENI KAMBAMBE MADUKA YOTE YA TIGO NCHINI TANZANIA

Wakaazi wa Itundu mjini Songea wakiangalia simu mbalimbali kwenye duka la Tigo lililopo mtaa huo. Katika msimu huu wa Tigo Fiesta wateja wa Tigo wanapata bonasi ya hadi GB 2 baada ya kununua simu aina ya Tecno S2, R6 na ZTE-KISS 3 katija maduka yote ya Tigo nchinMtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Neema Sammy akimkabidhi mteja, Otimary Kapinga simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leoMtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Johnson Chikawe akimkabidhi mteja, Bosco Haule simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta  Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Water Newton akimkabidhi mteja, John Komba simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo aina ya Tecno S2Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea William Nombo ak... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More