WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE WAPATIWA MKOPO WA PIKIPIKI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE WAPATIWA MKOPO WA PIKIPIKI

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Edwin Mwanzinga akimkabidhi funguo ya pikipiki Mtendaji wa Kata ya Lugenge Khadija Lutumo wakati wa utoaji wa mkopo wa pikipiki kwa watendaji wa Kata Halmashauri ya Mji NjombeMkuu wa idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Mji Njombe Abdulatif Mkata akizungumza jambo wakati wa makabidhiano ya pikipiki hizo.Kushoto kwake ni watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Mji Njombe
Wajumbe wa Kamati ya fedha na wataalamu wa Halmashauri ya Mji Njombe wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano ya pikipiki hizo.
Hyasinta Kissima- Afisa Habari ,Halmashauri ya Mji Njombe.
Halmashauri ya Mji Njombe imekusudia kutatua changamoto ya upungufu wa vitendea kazi kwa watendaji wa Kata katika Halmashauri hiyo kwa kuwakopesha pikipiki.
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya pikipiki hizo kwa watendaji wa Kata za Lugenge, Matola, Ihanga na Kifanya Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Mji Njombe Abdulatif Mkata amesema kuwa lengo la Halmashauri... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More