Watendaji Mamlaka za Maji Watakiwa Kuimarisha Huduma Wanazotoa kwa Wananchi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watendaji Mamlaka za Maji Watakiwa Kuimarisha Huduma Wanazotoa kwa Wananchi


   Frank Mvungi- MAELEZONaibu Waziri wa  Maji Mhe. Jumaa Aweso amezitaka Mamlaka za Maji nchini kuhakikisha kuwa zinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia azma ya Serikali ya Awamu ya Tano kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma ya majisafi na salama katika maeneo yote.Akizungumza wakati akifunga Kikao kazi cha siku mbili kwa watendaji wakuu wa Mamlaka za Maji na wahandisi amesema kuwa  wanalo jukumu kubwa la kutekeleza majukumu yote kwa weledi na kuimarisha huduma za maji kwa wananchi.“ Kwa yoyote atakayejaribu kuturudisha nyuma katika kutimiza azma ya Serikali ya Awamu ya Tano hatutaweza kumvumilia kwa namna yoyote zaidi yakumuweka pembeni “; Alisisitiza AwesoAkifafanua Aweso amesema kuwa watendaji hao wanatakiwa kuhakikisha kuwa sekta  ya maji inachochea maendeleo na ustawi wa wananchi.Pia alizitaka Mamlaka za maji kutangaza miradi ya maji inayotekelezwa katika maeneo yao ili kuonesha juhudi zilizochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma ya maji kwa wananc... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More