WATENDAJI MKOANI SINGIDA WATAKIWA KUANZISHA VITUO VYA MKONO KWA MKONO KUOKOA WAATHIRIKA WA UKATILI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATENDAJI MKOANI SINGIDA WATAKIWA KUANZISHA VITUO VYA MKONO KWA MKONO KUOKOA WAATHIRIKA WA UKATILI


  Katibu tawala wa Mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi akifungua kikao kazi cha kuandaa jumbe za kuelimisha jamii kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto kulia kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya watoto kutoka Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Bw. Sebastian Kitiku na wa kwanza kushoto ni Bw. Christopher Mushi Afisa Maendeleo ya Jamii Mkuu kutoka Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya watoto kutoka Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Bw. Sebastian Kitiku akiongea wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha watendaji wa Mkoa pamoja na Wizara ya Afya kujadili jumbe za kuelimisha jumii kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha watendaji wa Mkoa pamoja na Wizara ya Afya wanao kaa mjini singida kujadili jumbe za kuelimisha jumii kuhusu ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Bw. Christopher Mushi Afisa Maendeleo ya Jamii Mkuu kutoka Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii akitoa ma... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More