WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE

 Malikia wa Nguvu 2018,Bahati Mandoa  akizungumza na wanfunzi wa  shule ya sekondari Makumbusho  juu ya watoto wa kiume wahamasishwa kuwalinda watoto wa kike ili  kufikia malengo yao wakati wa taasisi ya Taesafo ilipokwenda shuleni hapo katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike Duniani leo jijini Dar es Salaam.(picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)Viongizo wa taasisi ya Faeso wakimkabidhi Mwalimu wa Taaluma wa shule hiyo,Augustino Joseph(kulia)vifaa mbalimbali kwaajili ya wanafunzu wa kidato cha nne leo katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike Duniani..(picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More