Watoto wenye ulemavu waomba Bima ya Afya bure - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watoto wenye ulemavu waomba Bima ya Afya bure

WAZAZI na walezi wenye watoto walemavu wa akili na viungo nchini wameiomba Serikali kuwakatia Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu ya watoto wao kufuatia kukabiliwa na changamoto za kiuchumi kutokana na kutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hivyo kupunguza muda wa kufanya shughuli za kujiongezea kipato. Anaripoti Christina Haule … (endelea). Wakizungumza wakati wa uhamasishwaji ...


Source: MwanahalisiRead More