Watu 13 wafikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watu 13 wafikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

WATU 13 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa Sh. 154 milioni. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Akiwasomea mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kelvin Mhina wakili wa serikali mkuu, Nassoro Katuga amedai kuwa washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka 5 ambayo wameyatenda ...


Source: MwanahalisiRead More