Watu 3000 wakamatwa na heroin kilo 30 kipindi cha miezi 6 (Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watu 3000 wakamatwa na heroin kilo 30 kipindi cha miezi 6 (Audio)

Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania imeukamata mtandao wa wakuuza dawa za kulevya ukiwa na kilo nane za Heroin pamoja na mtandao wake wote. Akiongea na waandishi wa habariJumatatu hii jijini Dar es Salaam, Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya, Salimu Kabeleke amedai kwa kipindi cha miezi 6 wamewakamata watu zaidi ya 3000 pamoja na kilo 30 za dawa za kulevya aina ya heroin.The post Watu 3000 wakamatwa na heroin kilo 30 kipindi cha miezi 6 (Audio) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More