Watu 55 wafariki katika ajali ya basi Kenya wakielekea Kisumu, Magufuli atuma rambirambi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watu 55 wafariki katika ajali ya basi Kenya wakielekea Kisumu, Magufuli atuma rambirambi

Basi hilo lenye uwezo wa kubeba abiria 67, linadaiwa kupoteza mwelekeo barabarani baada ya dereva kushindwa kulimudu na likabingiria mara kadha.


Source: BBC SwahiliRead More