Watu milioni 1.6 wapoteza maisha kutokana na Kisukari - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watu milioni 1.6 wapoteza maisha kutokana na Kisukari

Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu milioni 1.6 walipoteza maisha mwaka 2016, kutokana na Kisukari. Katika taarifa ambayo imetolewa leo kwa munasaba wa Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari au Diabetes, WHO imeaangazia athari za Kisukari kwa familia na majukumu ya wanafamilia katika kusaidia kinga, uchunguzi na usimamizi unaotakiwa kwa ugonjwa huo. WHO


Source: Kwanza TVRead More