WATUHUMIWA 14 WA WIZI WA MAGARI, SILAHA AINA SHOTGUN NA BASTOLA WATIWA MBARONI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATUHUMIWA 14 WA WIZI WA MAGARI, SILAHA AINA SHOTGUN NA BASTOLA WATIWA MBARONI

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, LIBERATUS SABAS-DCP akizungumza na waandishi wa habari akizungumziwa kukamatwa kwa watuhumiwa 15 wa uhalifu wa wizi wa magari, silaha na mlipuko mmoja.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya Short Gun, risasi nne za short gun na mlipuko moja uliotengenezwa kienyeji.

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, LIBERATUS SABAS-DCP ametos taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, amesema Silaha hiyo ilikamatwa tarehe 25 Oktoba 2018 majira ya saa 21:30 huko maeneo ya Kijichi. Askari wakiwa doria waliitilia mashaka pikipiki iliyokuwa haina namba za usajili ikiendeshwa na kijana mmoja akiwa amewapakia wenzake wawili.
Vijana hao baada ya kutambua kuwa wanafuatiliwa na Polisi walianza kuwafyatulia risasi huku wakikimbia, ndipo askari walipojibu mapigo na kufanikiwa kumjeruhi kijana mmoja na kupelekea kufariki akiwa anapelekwa hospitali.
Kijana huyo alipekuliwa na k... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More