WATUMISHI NSSF WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUFIKIA LENGO LA KUKUSANYA SHILINGI TRILLIONI 1.5 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATUMISHI NSSF WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUFIKIA LENGO LA KUKUSANYA SHILINGI TRILLIONI 1.5

MKURUGENZI mkuu wa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF) William Erio amewataka watumishi wa shirika hilo kufanya kazi kwa bidii na kufikia lengo la kukusanya Shilingi Trilion 1.5 na kwamba hatovumilia wazembe.
Erio aliyasema hayo jana katika mkutano wake na Wakurugenzi na Mameneja wa shirika hilo kwenye ukumbi wa NSSF Ilala Dar es Salaam.
"Mwaka jana mlipaswa kukusanya shilingi Trillion 1 lakini mlikusanya shilingi billion 700 pekee hivyo hamkufikia lengo." Mwaka huu katika mpango kazi ulioidhinishwa na Waziri mnapaswa kukusanya shilingi Trilioni 1.5 target hii lazima hifikiwe."alisema Erio 
Alisema fedha hizo zitapatikana kupitia uandikishwaji wa wanachama wapya, makusanya ya fealisema. wanachama wa zamani pamoja na fedha za pango za majengo ya shirika hilo."Hakuna haja ya kuwa na wanachama lukuki ambao hawalipi michango yao, ni lazima wafuatiliwe kwa karibu kuhakikisha michango inalipwa kwa wakati.
" Najua pia tuna majengo yetu ambayo yapo wazi hayana wapangaji, nimeshaongea na S... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More