WATUMISHI OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA WAPATIWA MAFUNZO UANGALIZI WA UCHAGUZI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATUMISHI OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA WAPATIWA MAFUNZO UANGALIZI WA UCHAGUZI

Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe. Jaji Francis S.K.Mutungi akionyesha kitabu chenye kuelimisha uma juu ya makatazo yaliyomo katika Sheria ya Gharama za Uchaguzi wakati wa Mafunzo ya Watumishi yaliyofanyika leo Julai 11, 2018 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.Bi. Piencia Kiure, Msajili Msaidizi anayeshughulikia masuala ya Gharama za Uchaguzi na Elimu kwa Umma akitoa mwongozo wa namna sahihi ya ujazaji wa fomu za gharama za uchaguzi kwa wagombea na vyama vya siasa ambazo hubainisha mapato na matumizi wakati wa uchaguzi.Mwanasheria Mwandamizi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Bi. Monica Mwailolo , mmoja wa wakufunzi akiwakilisha mada wakati wa mafunzo.Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyaa vya siasa wakati wa Mafunzo
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa mafunzo maalumu kwa watumishi wa ofisi yake ili kuwajegea uwezo wa kufanya uangalizi wa uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 12 Agosti 2018 katika jimbo la Buyungu na kata 79.
Mafu... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More