Watumishi TAA walia njaa, Waziri awapotezea - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Watumishi TAA walia njaa, Waziri awapotezea

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayogela, amesema wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wanakabiliwa na njaa (ukata) licha ya kuwa wanaonekana kupendeza wanapokuwa wamevaa suti wakiwa katika vikao au mikutano. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mayogela amesema kuwa kinachosababisha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kukabiliwa na njaa kali ni kutokana na kuwepo ...


Source: MwanahalisiRead More