WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI

Watumshi wa Serikali katika idara mbalimbali wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga vijijini ambao ni Makada wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakiwa kwenye maandamano ya kumpongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wake mzuri wa kizalendo hasa kupigania maslahi ya wakulima,huku wakiwa wamebeba mabango ya pongezi hizo.

Maandamano yakiendelea kutoka eneo la Soko Kuu na kuelekea kwenye ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga ili kufikisha ujumbe wao wa pongezi kwa Rais Magufuli.

Maandamano baada ya kufika katika ofisi za CCM Mkoa wa Shinyanga.

Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Haula Kachwambwa akipokea mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kumpongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wake kazi hasa kupigania wanyonge ili kuwainua kiuchumi.

Upokeaji wa mabango ukiendelea.

Watumishi wa Serikali ambao ni Makada wa CCM wakiingia ukumbini kwa ajili ya kutoa tamko lao juu ya kupongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wake kazi wa kizalendo na kufuata misingi ya ujamaa, utu na uzalendo kama alivyo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More