Wayne Rooney amjia juu Mourinho aponda kiwango chake na cha baadhi ya wachezaji ” Ana matarajio madogo” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wayne Rooney amjia juu Mourinho aponda kiwango chake na cha baadhi ya wachezaji ” Ana matarajio madogo”

Mchezaji wa klabu ya DC United kutoka nchini Marekani Waynee Rooney amefuguka mwanzo mwisho kwa mara ya kwanza tangu aende Marekani kuhusiana na kocha wa United Jose Mourinho.Mchezaji huyo wa DC aliongea hayo baada ya kuulizwa na mwandishi juu ya mwenendo wa klabu yake hiyo ya zamani ambao wanasua sua sana kwenye ligi kuu nchini Uingereza kwa kufanikiwa kucheza michezo 8 wakishinda minne wakipoteza miwili na kusuluhu miwili,tayari waki nafasi ya 8 kwa alama 13 mkononi huku wakiwa na tofauti ta alama 7 na timu inayoshikilia nafasi ya kwanza.Rooney alisema ” Sio kitu kizuri kwa United wana wakati ngumu sana kwa wachezaji meneja wote kwa pamoja wana msimu mgumu sana,Namjua Mourinho ila kwa sasa amebeba mzigo mkubwa sana nilisema wiki chache zilizopita wachezaji wanatakiwa kusimama imara” aliongeza ” Wachezaji wanatakiwa wawe na mahesabu wanatakiwa kuwa bora zaidi kocha wanafanya mengi sana lakini yote yanakuwa ni wajibu wa wachezaji kuyafanyia kazi na kuleta matokea mazuri”... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More