Wazee wa benchi Simba, Yanga wamkera Amri Said - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wazee wa benchi Simba, Yanga wamkera Amri Said

Kocha wa Mbao FC, Amri Said ameshangazwa na wachezaji ambao wameganda Simba na Yanga licha ya kukaa benchi, kitendo alichokiita ni kutojielewa kwa sababu umri wao unaenda.


Source: MwanaspotiRead More