Wazee wa zengwe Old Trafford wapo kimyaaa kama hawaoni vile - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wazee wa zengwe Old Trafford wapo kimyaaa kama hawaoni vile

Kuna mtu anaitwa Roy Keane, mwingine anaitwa Paul Scholes, kuna Gary Neville na mdogo wake, Phil Neville, kuna Paul Ince. Wapo wengi tu ambao walitamba katika kikosi cha United utawala ule wa Sir Alex Ferguson. Hawa bado wana mamlaka na sauti kubwa ndani ya Old Trafford.


Source: MwanaspotiRead More