WAZIRI DKT. KIGWANGALLA ATATUA MGOGORO WA ARDHI NGORONGORO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI DKT. KIGWANGALLA ATATUA MGOGORO WA ARDHI NGORONGORO


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana kwa furaha na wananchi wa Kata ya Alaitole ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro alipofika kutatua mgogoro wa wananchi wa Kata hiyo kuzuiwa kujenga shule ya Wasichana ya bweni na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro katika eneo la Esere, wilayani Ngorongoro.Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akisikiliza maoni na hoja za wananchi wa Kata ya Alaitole alipofika kutatua mgogoro wa wananchi wa Kata hiyo kuzuiwa kujenga shule ya Wasichana ya bweni na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro katika eneo lao la Esere, wilayani Ngorongoro jijini Arusha. Mkutano wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na wananchi wa Kata ya Alaitole katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Mhe. Kigwangalla alifika kutatua mgogoro uliohusisha wananchi wa Kata hiyo kuzuiwa kujenga shule ya Wasichana ya bweni na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

NA MWANDISHI WETU, NGORONGOROWaziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ham... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More