WAZIRI DKT.KIGWANGALLA, PROF. KABUDI WAUNGURUMA LONDON - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI DKT.KIGWANGALLA, PROF. KABUDI WAUNGURUMA LONDON

Na Mwandishi Wetu, London 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mawaziri wake Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Wazirri wa Katika na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi wameweza kuhutubia mkutano mkubwa na wa Kimataifa juu ya upigaji vita biashara haramu ya nyara, uliokuwa wa siku mbili Oktoba 11 na 12, 2018, Jijini London, Uingereza.
Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla na Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi wamuwakilisha Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano huo wa Kimataifa na kuandaliwa na Serikali ya Uingereza chini ya Uenyekiti wa Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William.
Mwaka huu mkutano huo ni wa Nne wa Ngazi ya juu kuhusu Biashara haramu ya nyara ambao huku ukiwakutanisha viongozi wakuu wa nchi, mawaziri na wataalam kutoka zaidi ya nchi 60 Duniani pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali, wasomi na wafanyabiashara.
Mkutano huo una lengo la kuimarisha jitahada zinazofanywa na Serikali... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More