WAZIRI DR HUSSEIN MWINYI AZINDUA JENGO LA KISASA LA UTAWALA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA MJINI MAFINGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI DR HUSSEIN MWINYI AZINDUA JENGO LA KISASA LA UTAWALA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA MJINI MAFINGA

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
WAZIRI wa ulinzi na jeshi lakujenga taifa Dr Hussein Mwinyi ameupongeza uongozi wa shule ya sekondari yaKawawa kwa ujenzi wa jengo la kisasa la utawala ambalo litachangia katika ufanisi bora wa kazi kwa walimu na wafanyakazi wote wa shule hiyo.
Akizungumza wakati wa kuzindua jingo hilo la utawala waziri Mwinyi alisema kuwa jengo limejengwa kwa viwango ambavyo serikali ya awamu ya tano inataka na jingo hilo linaviwango vinavyotakiwa.“Kwa kweli nisiwe mchoyo wa fadhila jengo hili limejengwa kwa kuzingatia ujenzi unaotakiwa na lina ramani ambayo itadumu kwa miaka mingi na itakuwa auheni kwa wafanyakazi kufanya kazi zao kwenye jengo hili” alisema Mwinyi
Waziri Mwinyi aliwataka wafanyakzi wa shule hiyo kuhakikisha wanalitunza jengo hilo pamoja na miundo mbinu yake kwa ajili ya vizazi vingine. Awali akisoma risala kwa waziri Mwinyi mkuu wa shule hiyo Meja Erenest Sikaponda alisema kuwa jengo hilo la utawala limejengwa kwa shilingi 222,591,000 na kufani... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More