WAZIRI GEORGE SIMBACHAWENE RASMI OFISI NDOGO YA MAKAMU WA RAIS DAR ES SALAAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI GEORGE SIMBACHAWENE RASMI OFISI NDOGO YA MAKAMU WA RAIS DAR ES SALAAAM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mpya wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface  Simbachawene alipowasili Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo Julai 22,2019 kwa ajili ya kujitambulisha rasmi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe  Magufuli. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mpya wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface  Simbachawene alipowasili Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo Julai 22,2019 kwa ajili ya kujitambulisha rasmi mara baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano wa Mazingira Mhe. GHeorge Boniface Simbachawene akisaini kitabu kwa ajili ya kuanza kazi rasmi alipowasili Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli JIjini Dar es salaam leo Julai 22,2019 mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. D... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More