WAZIRI JAFFO AZINDUA SHIRIKISHO LA MICHEZO LA FEASSSA JIJINI ARUSHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI JAFFO AZINDUA SHIRIKISHO LA MICHEZO LA FEASSSA JIJINI ARUSHA

Wenyeji Tanzania wakipita mbele ya mgeni rasmi tayari kwa kushiriki mashindano ya FEASSSA 2019 Jijini Arusha.Wenyeji Tanzania wakipita mbele ya mgeni rasmi tayari kwa kushiriki mashindajo ya FEASSSA 2019 Jijini Arusha.Washiriki kutoka nchini Kenya wakiwa tayari kushiriki mashindano ya FEASSA Jijini Arusha.Washiriki kutoka Zanzibar wakipita mbele ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya RIs TAMISEMI,Mhe.Suleiman JaffoWashiriki kutoka Uganda wakipita mbele ya mgeni rasmi waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI,Mhe.Suleiman JaffoWashiriki kutoka nchini Rwanda wakipita mbele ya mgeni rasmi Waziri wa nchi TAMISEMI ,Mhe.Suleiman JaffoNgoma ya wanafunzi kutoka mkoani Geita ikiwa inatumbuiza wakati wa ufunguzi wa mashindani hayo rasmiWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo akizungumza na wachezaji kabla ya kuanza kwa mechi ya uzinduzi kati ya timu mojawapo kitoka nchini Kenya na Tanzania katika uwanja wa Kumbukumbu ya Shekh Amri Abeid Karume Jijini Arusha.Waziri wa Nchi Ofisi ya ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More