WAZIRI JAFO AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA MKOANI MTWARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI JAFO AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA MKOANI MTWARA

 Pichani ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya mtwara mkoani humo Omari Kipanga wa tatu kulia hivi karibuni akitoa taarifa ya ujenzi wa kituo cha afya kinachojengwa kijiji cha Mkunwa kwenye halmashauri hiyo kwa waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wa tano kushoto wakati alipotembelea  na kukagua maendeleo ya ujenzi kijijini humo wengine ni viongozi na wananchi wa kijiji hicho.(PICHA NA FATNA MWINYIMKUU)
 Pichani ni wananchi wa kijiji cha Mkunwa kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni wakimsikiliza waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wakati alipotembelea  na kukagua maendeleo ya ujenzi  huo kijijini humo.  waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wa pili kushoto hivi karibuni akitoa agizo kwa viongozi mkoani mtwara kuhusu kusua sua kwa ujenzi wa hospitali ya wilaya inayojengwa katika Kata ya Nanguruwe halmashauri ya ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More