WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam(DART) Mhandisi Ronald Lwakatare amepewa onyo kwa kile kinachoelezwa kushindwa kutekeleza majukumu yake.
Onyo hilo limetolewa leo na Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Suleiman Jafo ambapo pia amemtaka Mhandisi Lwakatare kujieleza kwanini ameshidwa kumsimamia mtoa huduma Udart.
Waziri Jafo mbali ya kutoa onyo hilo ametoa maagizo kwa Naibu Waziri wake Joseph Kakunda kufanya kikao ambacho kitamjumuisha Mtendaji mkuu wa Dart pamoja na mtoa huduma Udart ili kubaini changamoto zilizopo ambazo zinasababisha usafiri huo kuonekana kero kwa wananchi.
Amefafanua usafiri wa mabasi ya mwendo kasi ni usafiri uliokuwa wa nema kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wengi wao walikuwa wanatumia zaidi ya saa tatu kutoka Posta hadi Kimara.
"Leo hii kupitia usafiri huu wanatumia takribani dakika 40 hadi 45, hivyo hatuwezi kuacha huduma ziendele kudorola kwa k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More