Waziri Jafo awataka vijana kuwa mabalozi wa amani nchini - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Jafo awataka vijana kuwa mabalozi wa amani nchini


Charles James, Michuzi TV
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Seleman Jafo amewataka vijana kutochezea amani ya Nchi na Badala yake wawe Mabalozi Wazuri wa kutunza na kuenzi amani hiyo kwani ni Tunu kwa Taifa la Tanzania.
Waziri Jafo amesema hayo leo Agosti 15,2019 jijini Dodoma katika maadhimisho ya siku ya vijana duniani ambapo amesema amani iliyoasisiwa na Marais wa Tanganyika na Zanzibar ni vigumu kuirejesha ikipotea hivyo vijana ni nguzo Muhimu wa Kuitunza amani hiyo.
“Waasisi Wa Taifa letu ,Julius Kambarage Nyerere na Aman Karume walipambana sana na walitumia gharama kubwa kuhakikisha amani ya nchi yetu inapatikana na tukajipatia Uhuru ,kilichobaki ni kirahisi sana ni kuiendeleza ,kuienzi na kuitunza amani ya Nchi Yetu kwani ikipotea kuirudisha ni vigumu sana ,na wenye wajibu na nguvu kubwa wa kuinza ni ninyi vijana “amesema Jafo.
Katika hatua nyingine Waziri Jafo amewataka vijana waliopewa nafasi za Madaraka kufanya kazi na kuacha maigizo ili ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More