WAZIRI JENISTA MHAGAMA ATOA MAAGIZO KWA NSSF, AKERWA NA TABIA YA NENDA RUDI KUFUATILIA MAFAO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI JENISTA MHAGAMA ATOA MAAGIZO KWA NSSF, AKERWA NA TABIA YA NENDA RUDI KUFUATILIA MAFAOWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na baadhi ya Wanachama wa NSSF waliofika kwenye ofisi za NSSF Ilala/Temeke leo kufuatilia madai yao mbalimbali kufuatia maagizo ya Rais Dk.John Magufuli aliyoyatoa katika mkutano kati ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa sekta ya Hifadhi ya jamii(SSRA), watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na Chama cha waajiri uliofanyika Desemba 28, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam. Waziri Mhagama akiwa ameambatana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),William Erio amefanya ziara leo katika ofisi za Ilala,Temeke na Kinondoni kufuatilia utekelezaji wa Maagizo ya Rais na kusikiliza changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo Wanachama hao wakati wa kufuatilia madai yao kwenye ofisi hizo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na Mkurugenzi ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More