WAZIRI KAIRUKI, TIC WAWAHAKIKISHIWA WAWEKEZAJI KUTOKA HONG KONG KUWA TANZANIA NI SEHEMU SALAMA YA KUWEKEZA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI KAIRUKI, TIC WAWAHAKIKISHIWA WAWEKEZAJI KUTOKA HONG KONG KUWA TANZANIA NI SEHEMU SALAMA YA KUWEKEZA

Na Said Mwishehe, Blogu ya JamiiKITUO cha Uwekezaji Tanzania(TIC)kimepokea ujumbe wa watu saba kutoka Hong Kong -China ambao lengo lake ni kufanya mazungumzo na taasisi mbalimbali za Serikali na kufanya tafiti kabla ya kuwekeza ikiwemo kwenye eneo la la ujenzi wa viwanda vya vifaa tiba na dawa. Akizungumza mbele ya wajumbe hao leo Februari 12, 2019 ,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Angellah Kairuki amesema ujumbe huo umekuja nchini kwa lengo la kufanya tafiti katika maeno mbalimbali ya uwekezaji ambapo tangu wamefika nchini wamekuwa wakifanya mazungumzo na taasisi za Serikali wakiongozwa na TIC.
"Ujumbe huo kutoka Hong Kong ambayo ni sehemu ya China upo nchini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na taasisi mbalimbali za Serikali.Pia wamekuja kufanya tafiti na lengo lao kubwa ni kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya dawa na vifaa tiba, viwanda vya magodoro pamoja na viwanda vingine kadhaa kulingana na tafiti yao.
 "Pia wameonesha nia ya kuwekeza katika kununu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More