WAZIRI KALEMANI AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU MATUMIZI YA UMEME WA REA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI KALEMANI AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU MATUMIZI YA UMEME WA REA

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (katikati), akikata utepe kuashiria uwashaji rasmi wa umeme katika kijiji cha Bukama, wilayani Bunda, Septemba 19, 2018.Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa kijiji cha Bukama wilayani Bunda, wakati wa hafla ya uwashaji rasmi wa umeme katika eneo hilo iliyofanyika katika Shule ya Msingi Busore, Septemba 19, 2018.Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mwalimu Lydia Bupilipili akizungumza wakati wa Mkutano wa Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (kushoto) na wananchi wa kijiji cha Salama ‘A’ (hawapo pichani), akiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme.Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (wa pili-kushoto) akipokea fimbo maalum inayoashiria uongozi mahiri kutoka kwa wazee wa kijiji cha Bukama wilayani Bunda; wakati wa hafla ya uwashaji rasmi umeme katika eneo hilo iliyofanyika Septemba 19, 2018. Wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniphace Getere na wa tatu kushoto ni M... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More