WAZIRI KALEMANI KUTOA MUELEKEO WA NCHI KATIKA KUTUMIA NISHATI YA MAFUTA NA GESI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI KALEMANI KUTOA MUELEKEO WA NCHI KATIKA KUTUMIA NISHATI YA MAFUTA NA GESI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) Mhandisi Kapuulya Musomba akifafanua jambo wakati anazungumzia Kongamano la Pili la sekta ya mafuta na gesi litakalofanyika Septemba 24 hadi 25 mwaka huu.Kamishina Msaidizi wa Mendeleo ya Petroli kutoka Wizara ya Nishati akizungumza leo jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa Kongamano la pili la sekta ya mafuta na gesiMwanzilishi na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watoa Huduma za Mafuta na Gesi nchini Abdulsamad Abdulrahim akizungumza leo kuhusu Kongamano la Pili la Sekta ya Mafuta na Gesi ambalo litafanyika jijini Dar es Salaam Septemba 24 hadi 25.Mwanzilishi na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watoa Huduma za Mafuta na Gesi akizungumza leo mbele ya waandishi wa habari kuhusu kongamano litakalofanyika Septemba 24 hadi 25 mwaka huu
*Ni kupitia Kongamano la pili la sekta ya mafuta, gesi litalokafanyika Septemba 24/25
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii.
SERIKALI kupitia Waziri wa Nishati Dk.Medard Kalemani inatarajia... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More